To see the other types of publications on this topic, follow the link: Utamaduni.

Journal articles on the topic 'Utamaduni'

Create a spot-on reference in APA, MLA, Chicago, Harvard, and other styles

Select a source type:

Consult the top 17 journal articles for your research on the topic 'Utamaduni.'

Next to every source in the list of references, there is an 'Add to bibliography' button. Press on it, and we will generate automatically the bibliographic reference to the chosen work in the citation style you need: APA, MLA, Harvard, Chicago, Vancouver, etc.

You can also download the full text of the academic publication as pdf and read online its abstract whenever available in the metadata.

Browse journal articles on a wide variety of disciplines and organise your bibliography correctly.

1

Sululu, Simiyu Benson, Richard Makhanu Wafula, and Joseph Nyehita Maitaria. "Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa Kuzikana." East African Journal of Swahili Studies 3, no. 1 (August 2, 2021): 91–99. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.3.1.373.

Full text
Abstract:
Usomaji wa fasihi katika kipindi cha sasa unabainisha idadi kubwa ya waandishi kutoka jamii zisizo Waswahili ambao wameandika kazi katika tanzu mahsusi za fasihi simulizi ya Kiswahili. Waandishi hawa wameendelea kutumia maudhui, ploti na vipengele vingine vya utamaduni wa fasihi simulizi za jamii zao katika kubuni kazi zao za fasihi andishi ya Kiswahili. Vipengele vya fasihi simulizi za jamii za waandishi hawa, wasiokuwa Waswahili, vimeingizwa katika riwaya ya Kiswahili na kuwa sehemu ya riwaya hii. Makala hii imechunguza jinsi uingizaji wa vipengele hivi vya fasihi simulizi za watunzi wa riwaya ya Kiswahili, wasiokuwa Waswahili, unaifanya riwaya hii kuwa ya kimahuluti. Mahsusi, makala hii imedadavua mchango wa tanzu za kimaigizo za fasihi simulizi katika umahuluti wa riwaya ya Kiswahili kupitia mfano wa riwaya ya Kufa Kuzikana (2003) iliyoandikwa na Ken Walibora. Tathmini hii imetumia Nadharia ya Umahuluti wa Utamaduni inayoshikilia kwamba panapotokea hali ya mtagusano baina ya tamaduni tofauti, matokeo yake si wingi-tamaduni bali ni mchanganyiko wa vipengele kutoka tamaduni hizi mbalimbali ambao ni bora na imara zaidi kuliko tamaduni asilia. Nadharia hii imetumiwa kufafanua jinsi umahuluti wa riwaya ya Kiswahili umechangiwa na uingizaji wa vipengele vya tanzu za kimaigizo za fasihi simulizi kutoka jamii za watunzi wake teule wasiokuwa Waswahili. Katika kufanya hivyo, makala hii imebainisha jinsi kuingizwa kwa vipengele hivi vya fasihi simulizi za jamii za waandishi teule katika riwaya ya Kiswahili kumeirutubisha riwaya hii kwa kuifanya kuwa changamano na nyumbufu kwa ambavyo inameza tanzu kutoka tamaduni tofauti na kujiimarisha kupitia kwazo bila kupoteza sura yake asilia.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
2

Wanyenya, Willy, Rocha Chimerah, and Nancy Jumwa Ngowa. "Athari za Usasa kwenye Usimulizi wa Hadithi katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 2 (September 8, 2020): 116–27. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.2.206.

Full text
Abstract:
Katika makala haya, watafiti anaeleza jinsi usimulizi wa hadithi umeathiriwa na usasa katika jamii ya Wamasaaba nchini Uganda. Anafanya hivyo kwa kulinganisha hali ilivyo sasa na jinsi ilivyokuwa kabla Wazungu hawajazuru barani Afrika. Mtafiti analinganisha miktadha ya utendaji wa hadithi na anatoa maelezo kuhusu mitindo mbalimbali ya utendaji. Anaeleza jinsi Waafrika walivyosimulia watoto wao hadithi kabla ya Wazungu kuja barani humu. Kwenye kazi hii, madhumuni ya utafiti ni: kudhihirisha athari za usasa kwenye masimulizi ya kinathari. Pili, kueleza stadi zilizokuwa zikitumiwa na Waafrika katika usimulizi wa hadithi. Mkabala wa utafiti ulikuwa wa nyanjani. Kwa kutumia mkabala huu, mtafiti alizuru nyanjani halafu akaanza kuendeleza mahojiano na wahojiwa wake. Kabla hajafanya hivyo, mtafiti alijitambulisha kwa wahojiwa wake na kuwaambia sababu za utafiti wake. Alifanya hivyo ili kuwaondolea wasiwasi. Majibu ya wahojiwa yalijumlisha data ambazo zilihitajika na mtafiti. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa usimulizi wa hadithi umefifia sana katika jamii ya Wamasaaba kutokana na usasa. Sababu ambazo zimepelekea usimulizi wa hadithi kufifia jamii hii pia zimeelezwa. Miongoni mwa sababu hizo ni: ulevi ambao hufanya watu kurejea nyumbani wakiwa wamelewa na kushindwa kusimulia watoto wao hadithi. Sababu nyingine ni wazazi kuthamini elimu ya kisasa na kuacha utamaduni wao wa kulea watoto ili baadaye wawe wake na waume wazuri. Wazazi kuhamasisha watoto wao wasome vitabu badala ya kuwasimulia hadithi. Nne, wazazi kuwa na lengo la kuelimisha watoto wao ili baadaye wapate kazi za afisi. Tano, jambo la kuwepo na utandawazi ambalo limepelekea watu kujumuika na kuiga tamaduni za kigeni. Upeo wa utafiti huu ulihusika na mabadiliko kwenye usimulizi wa hadithi na sababu ambazo zimepelekea utamaduni wa kusimulia hadithi kufifia katika jamii ya Wamasaaba nchini Uganda. Mtafiti alitumia mbinu ya bahati nasibu kuteua sampuli za wahojiwa.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
3

Migodela, Willy. "Dhamira za Maandishi ya Kuta za Vyooni Jijini Dar es Salaam." Mkwawa Journal of Education and Development 1, no. 1 (December 1, 2017): 17–27. http://dx.doi.org/10.37759/mjed.2017.1.1.2.

Full text
Abstract:
Makala haya yanahusu dhamira za maandishi, hususani ya vyooni Jijini Dar es Salaam. Lengo ni kuangalia dhamira za maandishi hayo na nafasi yake kwa jamii. Katika uchambuzi tumetathmini ubunifu unaojitokeza katika maandishi hayo. Aidha, kwa kutumia mbinu za utafiti maktabani kama vile uchambuzi matini na mbinu za uwandani, tulipata data muafaka kuhusu suala la kiutafiti lililoshughulikiwa katika makala haya. Pia, tumedurusu maandiko mbalimbali yanayozungumzia dhamira katika maandishi yaliyoandikwa sehemu mbalimbali na namna lugha ilivyotumika kutoa mawasiliano. Aidha, tumetumia nadharia ya Elimu-mitindo ambayo ndiyo inayoongoza uchambuzi na mjadala katika makala haya. Hali kadhalika, kutokana na utafiti huu, imebainika kuwa dhamira zilizojitokeza zaidi ni zile zinazohusu maradhi, maarifa, maadili na dini. Ilibainika pia kuwa dhamira hizi zinaakisi muundo na mfumo wa maisha ya jamii husika. Kutokana na matokeo haya, imehitimishwa kuwa ubunifu uliopo kwenye maandiko ya vyooni unasawiri hali mbalimbali katika jamii kama vile mtazamo wa wanajamii kuhusu maana na umuhimu wa elimu, dini, maadili na utamaduni kwa ujumla. Hatimaye, katika makala haya tutaona jinsi lugha safihi (matumizi ya lugha yasiyo na adabu) inavyojitokeza katika maandishi ya vyooni.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
4

Prof. Wendo Nabea, Harrison Onyango Ogutu; Dr Sheila Wandera;. "Ujitokezaji wa Hejemonia Katika Asasi Za Kijamii: Mfano wa Dharau ya Ini, Msimu wa Vipepeo, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (June 30, 2020): 76–88. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.130.

Full text
Abstract:
Watu wenye uwezo na mamlaka wanatumia madaraka yao kuwatawala wengine kwa vishawishi anuwai. Asasi za kijamii kama vile ndoa, shule, vyuo, utamaduni na malezi zinaendelea kushuhudia utawala wa wenye uwezo juu ya wasio na uwezo. Licha ya ubayana wa hali hii katika jamii, watafiti na wahakiki wa tanzu za fasihi andishi hususan riwaya hawajaonyesha namna hejemonia inajitokeza katika asasi za kijamii. Ingawa wahakiki wengi wa riwaya wameweza kuangazia masuala ya kila nui kuhusu asasi za kijamii, suala la hejemonia katika taasisi hizo lilihitaji kumulikwa. Hivyo, utafiti huu ulidhamiria kuchunguza ujitokezaji wa hejemonia katika safu ya hejemonia ya jamii kwa mujibu wa riwaya za Msimu wa Vipepeo, Dharau ya Ini, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya hejemonia ilioasisiwa na Antonio Gramsci katika makala aliyoyaandika akiwa gerezani kati ya mwaka wa 1923 na 1936. Nadharia hii inaelezea udumishaji wa uwezo na mamlaka ya tabaka moja kuu juu ya tabaka dogo kwa kutumia mikakati anuwai. Utafiti huu ulifanyiwa maktabani ambako utaratibu wa upekuzi wa yaliyomo ulitumika kukusanya data huku mbinu ya kithamano ikitumika kuchanganua data hiyo. Matokeo ya utafiti huu yatawafaa wahakiki na watafiti wa lugha na fasihi huku yakiweka wazi uwepo wa hejemonia katika asasi za jamii.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
5

Mwanakombo Mohamed; Mosol Kandagor, Jane Jepkoech Singoei;. "Jinsi Vipengele vya Kitamaduni katika Matini Teule ya Kiswahili na Kikalenjin Vilivyochangia Mtafsiri Kuiandika Upya Bukuit Ne Tilil." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (September 30, 2020): 110–24. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.155.

Full text
Abstract:
Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza jinsi vipengele vya kitamaduni katika matini teule ya Kiswahili na Kikalenjin vilivyochangia mtafsiri kuiandika upya Bukuit ne Tilil. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili, ambazo ni nadharia ya tafsiri vitendo ambayo ilitumika kubaini jinsi tofauti za kimazingira kati ya hadhira ya matini asilia na ya matini pokezi ilivyopelekea uandishi upya kufanyika wakati wa kutafsiri. Nadharia ya pili ni ya ulinganifu, ambapo matini asilia ililinganishwa na matini pokezi ili kubaini kama ujumbe ulihifadhiwa katika matini tafsiri. Aidha, tamaduni, matumizi ya msamiati na sarufi zililinganishwa kwa kuchunguza mikakati na mbinu zilizotumika kutafsiri matini asilia, na hivyo kubaini uandishi upya katika matini pokezi. Data zilikusanywa kupitia uchunguzi maktabani na vilevile kuwasaili washikadau katika Ofisi ya Utafsiri wa Bibilia ya Kapsabet na Shirika la Kutafsiri Biblia nchini, pamoja na wazungumza lugha ya Kikalenjin ambao walituelekeza juu ya matumizi ya baadhi ya maneno. Usampuli wa kimakusudi ulitumiwa ili kupata data iliyotumika katika uchanganuzi. Kitabu cha Mithali katika Agano la Kale kiliteuliwa kwa minajili ya utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yalikuwa: utamaduni wa Waswahili na wa Wakalenjin ni tofauti na hii ilipelekea uandishi upya ufanywe katika tafsiri. Utafiti unapendekeza yafuatayo: Sera za elimu kuhusu lugha za kienyeji zinafaa kutilia maanani tafsiri ya matini za kufundishia.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
6

Ogutu, Wanyama. "Halafu ya Sanaa za Ubunifu wa Kiafrika: Mtanziko Rejeleshi wa Tawala za Kiafrika." East African Journal of Swahili Studies 3, no. 1 (June 1, 2021): 24–29. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.3.1.334.

Full text
Abstract:
Mwonekano wa aliyekuwa rais wa Zaire; Kukugbedu Zambanga Seseseko Mobuto kwenye Umoja wa Mataifa huko New York ulirejesha maisha ya baadaye ya ubunifu wa Kiafrika. Ufanisi wa marejeo ya ubunifu wa Kiafrika umeleta sheria, kuwapo kwa sheria za kitaifa na mikataba ya maafikiano na ujima katika baraza la mataifa la makavazi katika mataifa ya Afrika. Karatasi hii ni makala ya maoni kwa (Africa Union-AU) Jumuia ya Afrika mwaka 2021 Mwaka wa Sanaa ya Uchoraji, Turathi na Utamaduni. Dhamira ya mtafiti ni kutatua mtanziko wa urejeo wa ubunifu wa sanaa ya Kiafrika katika taifa la Afrika. Lengo limebainisha baadhi ya vikwazo vinavyofanya urejeshi wa ubunifu wa sanaa ya Kiafrika kuwa mgumu hasa katika nchi yake ya asili. Karatasi hii imechambua sauti ya kitaalam katika marejeleo ya fasihi, makala na vitabu vya kisasa kuhusu Sanaa ya uchoraji ya Afrika. Imeteua bila taratibu maalum, sampuli kadhaa za utawala wa zamani wa Uropa Afrika kama vile Uingereza, Ufaransa, na Italia miongoni mwa mengine katika mijadala yake kama mifano. Kuafiki ajenda ya Jumuia ya Afrika mwaka wa 2063, karatasi imeamua kuwa kuwapo kwa mijadala ya kina kuhusu kurejea katika makongamano ya kimataifa yaliyoandaliwa na Jumuia ya Afrika. Kurejeshwa huku kutawapa wataalamu wa Kiafrika jukwaa la kuzidisha utafiti wa jambo la urejesho wa mali ya kitamaduni kwa taifa asilia, ili kuleta suluhu mwafaka na halisi. Mwisho, ina ombi kwa wakuu wa mataifa na nchi za Afrika walio mamlakani kuwa mstari wa mbele katika kunadi habari zaidi kuhusu turathi za kitamaduni duniani. Mataifa ya Afrika yalete kazi zake asilia, halisi na bora zaidi za sanaa ya uchoraji, minara na sanamu, vifaa vya dini, alama na ishara za kitaifa, mabaki ya mababu na kazi za sanaa bunifu zilizovurugika.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
7

Oketch, Samson Ezekiel, Beverlyne Asiko Ambuyo, and Rosemary Makokha. "Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 1 (April 10, 2020): 8–18. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.1.135.

Full text
Abstract:
Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jamii. Tafiti nyingi zilizofanywa zinahusu vipengele vya fasihi kama vile maudhui, matumizi ya lugha, wahusika na mandhari katika fasihi. Katika tafiti hizo, watafiti hawajaonyesha mifumo jamii inayojitokeza kutokana na vipengele hivi. Utafiti huu umezama na kiutathimini mifumo hii kupitia kwa tamthilia teule za Kiswahili ambazo ni: tamthilia ya Pango (2003) kilichoandikwa na Wamitila, Kifo Kisimani (2008) kilichoandikwa na Kithaka Wa Mberia na Mstahiki Meya (2009) kilichoandikwa na Timothy Arege. Mifumo iliyotafitiwa katika utafiti huu ni: mfumo wa utawala na siasa, wa uchumi katika jamii, wa utamaduni, wa imani na dini, ule wa tabaka za jamii na ule wa elimu ya jamii. Utafiti huu umeongozwa na madhumuni mahsusi yafutayo: kujadili maudhui yanayodhihirisha mifumo ya jamii katika tamthilia teule; kuchanganua mitindo ya lugha inavyodhihirisha mifumo ya kijamii kutoka tamthilia teule; na kuchunguza wahusika katika uhusika wao kwenye mandhari maalumu wanavyojenga ploti inayochangia kuweka wazi mifumo ya kijamii kutoka tamthilia teule. Kiunzi cha nadharia ya uchunguzi kimejengwa na nadharia za uhalisia na nadharia ya umtindo. Mihimili ya nadharia ya uhalisia ikiwemo masuala ya utawala na uongozi, yale ya vijana, udhanifu, ukosefu wa ajira na masuala ya jinsia imebainishwa kadri ilivyojitokeza kupitia tamthilia teule. Mbali na nadharia za uhalisia na umtindo nadharia ya ukoloni mamboleo imetumika kuelezea hali katika tamthilia hasa utambuzi wa mifumo jamii inayotokana na matokeo ya baada ya uhuru. Utafiti umeongozwa na tamthilia 26 zilizoandikwa nchini Kenya na Tanzania tangu mwaka wa 2000. Tamthilia 26 zilizotumika ni zile zilizoandikwa na wazawa asilia wa Afrika Mashariki na kati kufikia mwaka wa 2014. Asilimia kumi ya idadi hiyo ilipeana sampuli ya mbili nukta sita (2.6) ambacho ni kifani tosha cha tamthilia tatu. Utafiti huu umejikita Kenya na Tanzania kwa kigezo kuwa mbali na Kiswahili kuchimbukia na kuenea zaidi katika janibu hizi, imebainika pia kuwa sera na sheria za kikatiba za nchi hizi zimekipa Kiswahili kipao mbele. Orodha ya uchuzaji imetumika kukusanya data. Uchanganuzi wa data ulitumia yaliyomo. Utafiti huu unatarajiwa kuibua mawazo mapya kuhusu mifumo ya kijamii inayotokana na fasihi na hivyo kuchangia katika ukuaji wa elimu.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
8

Wesonga, Esther Lucy, Beverlyne Asiko Ambuyo, and Rocha Chimerah. "Nafasi ya Fasihi Katika Kuwasilisha Masuala ya Mazingira Kupitia Riwaya Teule Tikitimaji (2013) na Msimu wa Vipepeo (2006) za K. W. Wamitila." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 2 (August 11, 2020): 54–64. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.2.192.

Full text
Abstract:
Suala la mabadiliko ya hali ya anga ni janga linaloendelea kukumba ulimwengu kwa jumla. Kutokuwepo kwa usawazishaji wa ekolojia ni jambo ambalo linawatia shaka adinasi wengi. Fasihi ni kioo cha jamii na inapaswa kuwasilisha hali halisi ya maisha ya binadamu. Utafiti huu unachambua nafasi ya fasihi katika kuwasilisha masuala ya mazingira kupitia riwaya mbili teule za Wamitila, Tikitimaji (2013) na Msimu Wa Vipepeo (2006). Mwandishi huyu ameonyesha ari katika uwanja wa fasihi mazingira, kwenye makala yake ya “Place and placelessness in Kiswahili literature: The role of setting in Kiswahili creative writing” anasema kuwa mandhari huchukua nafasi katika kuwasilisha masuala ya mazingira. Kazi hii ilichunguza namna mwandishi alivyotumia fasihi kuwasilisha masuala ya mazingira katika riwaya zake za hivi karibuni. Ingawa kwa miaka mingi, masuala ya mazingira yamehusishwa na sayansi haswa katika kutoa takwimu kamilifu kuhusiana na masuala ya mazingira, fasihi inaendelea kuchukua dhima mpya katika jamii inayozidi kukua kiteknolojia. Utafiti huu uliongozwa na madhumuni yafuatayo: kubainisha jinsi mwandishi wa riwaya ya Tikitimaji alivyotumia wahusika ili kuwasilisha maudhui ya mazingira. kueleza mitindo ya lugha iliyotumiwa kuwasilisha masuala ya mazingira na tatu, kutathimini iwapo mwandishi amefaulu kuwasilisha maudhui ya mazingira riwayani. Utafiti huu ulitumia kiunzi cha nadharia kutoka kwa nadharia ya fasihi mazingira na nadharia ya uhalisia. Mihimili zitakazotumiwa kutoka nadharia ya uhalisia ni: kazi ya fasihi imejitosheleza, kazi ya msanii inapaswa kuwasilisha ukweli, mtunzi anaangalia matatizo na kuchunguza chanzo chake na mwisho wahusika ni vielelezo yakini vya binadamu wa kawaida kwa vile wao hutumia lugha ya kawaida wanayoitumia humwezesha mwanadamu kujifafanulia uwezo wake wa kutenda mambo. Mihimili ya fasihi mazingira iliyotumika ni: kuangalia dhana za ekolojia katika kazi za fasihi, mitindo na uwezo wa lugha na jinsi mitindo hiyo huathiri namna binadamu anavyotagusana na mazingira na mwisho binadamu hawezi ishi bila ekolojia lakini ekolojia huweza kuishi bila binadamu. Data ilipangwa kwenye makundi na kuchanganuliwa kwa kuzingatia madhumuni ya utafiti na mihimili ya kiunzi cha nadharia. Data iliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Utafiti huu umelenga kuhamasisha wasomi na waandishi wa fasihi wajikite zaidi kulenga masuala ya mazingira ambayo ndicho kitovu cha maisha ya binadamu. Utafiti ulibaini kuwa fasihi ni nyenzo mwafaka ya kuwasilisha masuala ya mazingira kupitia vipengele vyake. Kwani huingiliana sana na utamaduni wa jamii.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
9

Syamsudin, Kinkin. "MANHAJ IBNU ABÎ HÂTIM DALAM KITAB AL-JARH WA AL-TA’DÎL." Diroyah : Jurnal Studi Ilmu Hadis 2, no. 1 (May 22, 2018): 1–14. http://dx.doi.org/10.15575/diroyah.v2i1.2491.

Full text
Abstract:
-newline"> Artikel ini membahas mengenai manhaj Ibnu Abî Hâtim dalam penulisan Kitab Al-Jarh wa al-Ta’dil.Pada masanya kitab ini menjadi salah satu rujukan utama untuk mengetahui riwayat hidup dan kualitaspara rawi. Dengan mencantumkan 18.040 rawi di dalamnya, Ibnu Abî Hâtim telah ikut berkontribusidalam menyediakan data tentang para priwayat hadis. Dari kitab tersebut, salah satunya bisa diketahuikomentar-komentar para kritikus hadis tentang keadaan setiap perawi, apakah diterima (maqbul) atauditolak (mardud) sehingga nantinya bisa ditentukan status dan derajat hadis yang diriwayatkan olehperawi tersebut. Dengan menggunakan metode studi pustaka (Library Research) dan melalui pendekatananalisis isi (content analysis), akhirnya bisa diketahui bahwa penilaian Ibnu Abî Hâtim tehadap para rawitidak terlepas dari subjektivitas penulisnya sendiri dan cenderung tetap menyandarkan informasi utamadari para kritikus generasi sebelumnya. Dan setelah dikomparasikan dengan kitab kritikus lainnya yangsemisal, akhirnya idealisme Ibnu Abî Hâtim dalam kitab tersebut tidak tersinkronkan antara konsep danrealistasnya.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
10

Arvenia, Rica, Muhammad Fedryansyah, and Muhamad Fadhil Nurdin. "Giddens dan Kapitalisme: Etika Kerja Buruh Perkebunan Karet di Sumatera Selatan." Jurnal Pemikiran Sosiologi 5, no. 2 (April 1, 2019): 108. http://dx.doi.org/10.22146/jps.v5i2.44637.

Full text
Abstract:
Industri karet berkaitan pada kondisi buruh dan penguasaan wilayah, serta masuknya sistemkapitalisme dalam sektor perkebunan karet. Modernitas yang terjadi menjadi beban bagi buruh kerjaperkebunan karet karena sistem-sistem modern telah masuk dan dimiliki oleh sistem kapitalisme,sehingga menjadi dampak buruk bagi buruh, kesejahteraan merupakan bagian terpenting dalamsektor industri maupun perkebunan. Artikel ini berfokus pada masalah kapitalisme dan etika kerjayang ada pada perkebunan karet di Sumatera Selatan, dengan menggunakan pendekatan kualitatifdan analisis deskriptif.Teknik pengumpulan data berupa studi literatur, jurnal, observasi, sertawawancara mendalam pada pemilik kebun karet dan buruh perkebunan karet. Hasil penelitianmenunjukkan bahwa: (1) terjadinya sistem kapitalisme pada perkebunan karet yang diakibatkanoleh ketikstabilan harga. (2) etika kerja pada perkebunan karet direproduksi oleh perorangan, (3)terjadinya modernitas memberikan dampak pada harapan buruh perkebunan dan menjadi bebanbagi pemilik untuk mensejahterahkan buruh. Dalam teori strukturisasi yang dikemukakan olehGiddens ialah bahwa perubahan struktur dipengaruhi oleh agen dan struktur sehingga kunci utamadari kesejahteraan ada pada sistem, sistem yang tidak baik dapat membawa dampak yang buruk
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
11

Kristina, Kristina, Lamria Pangaribuan, and Hendrik Hendrik. "Gambaran Penyebab Kematian Utama di Kabupaten Bekasi Provinsi Jawa Barat 2011." Buletin Penelitian Kesehatan 47, no. 1 (June 19, 2019): 29–38. http://dx.doi.org/10.22435/bpk.v47i1.169.

Full text
Abstract:
AbstractDeath can be caused by a number of diseases such as infectious diseases, disease not causing injury. Thepattern of death and cause of death is one indicator used to assess health programs. Objective: to findout the images of the causes and causes of death in 2011 in Bekasi Regency. Methods: Articles are thesubsequent analysis of the study of the Health Control Model Based on Death Registrations and Causesof Death in 12 Districts / Cities in Indonesia. The method is an analysis of national agriculture in 2011.Population: all death events in Bekasi Regency. Samples: deaths of residents of Bekasi Regency who diedin 2011. Instruments used: 1) AV1 Questionnaire, to collect information on perinatal deaths, namely fetal/ infant mortality with a womb age of more than 22 weeks until the age of 6 days and advanced neonataldeaths, 7 days old infants up to 27 days. 2). The AV2 questionnaire, collected information on death,aged 28 days and five years, 5 years. 3) AV3 Questionnaire, collect the 5-year death report above andthe Death Cause Information Form (FKPK). Results: The number of deaths obtained in 2011 was 5,011deaths. As many as 82.7% of deaths were at home and 15.6% were hospitalized. Most deaths were in men(56.1%) compared to women (43.9%). The cause of death due to adolescents is not higher (61.4%) thanother causes. Space deaths increase sharply in the group 65 years and above. The cause of stroke wasdeath in Bekasi Regency in 2011. Conclusion: The main causes of the age group IUFD + 0-6 days werepremature. Diarrhea is the leading cause of death in the age group 29 months -4 years. TB is the leadingcause of death in women and number two in men aged 15-44 years. Stroke is the leading cause of deathin the age group 55-64 years, 65 years and over and in men aged 45-54 years. Keywords: death, stroke, cause of death, primary AbstrakKematian dapat disebabkan beberapa hal seperti penyakit menular, penyakit tidak menular maupun karenakecelakaan. Pola kematian dan penyebab kematian merupakan salah satu indikator yang digunakanuntuk menilai program kesehatan.Tujuan:mengetahui gambaran kematian dan penyebab kematian utamatahun 2011 di Kabupaten Bekasi. Metode:Artikel ini merupakan hasil analisis lanjut dari studi ModelPengendalian Kesehatan Berbasis Registrasi Kematian dan Penyebab Kematian di 12 Kabupaten/Kotadi Indonesia. Metode studi merupakan analisis regresi kematian tahun 2011. Populasi: semua kejadiankematian di Kabupaten Bekasi. Sampel: kematian penduduk Kabupaten Bekasi yang meninggal tahun2011. Instrumen yang digunakan: 1) Kuesioner AV1, untuk mengumpulkan informasi kematian perinatalyaitu kematian janin/bayi dengan umur kandungan lebih dari 22 minggu sampai dengan umur 6 hari dankematian neonatal lanjut, bayi berumur 7 hari sampai dengan 27 hari. 2). Kuesioner AV2, mengumpulkaninformasi kematian bayi berumur 28 hari sampai dibawah 5 tahun. 3) Kuesioner AV3, mengumpulkaninformasi kematian berusia 5 tahun keatas dan Formulir Keterangan Penyebab Kematian (FKPK). Hasil:Jumlah kematian yang didapatkan pada tahun 2011 adalah 5.011 kematian. Sebanyak 82,7% kematianterjadi di rumah dan 15,6% di rumah sakit. Kematian paling banyak pada laki-laki (56,1%) dibandingperempuan (43,9%). Penyebab kematian akibat penyakit tidak menular lebih tinggi (61,4%) dibandingkanpenyebab lain. Angka kematian meningkat tajam pada kelompok 65 tahun ke atas. Penyakit strokepenyebab kematian utamadi Kabupaten Bekasi tahun 2011. Kesimpulan: Penyebab kematian utama padakelompok umur IUFD +0-6 hari adalah karena prematur. Diare merupakan penyebab kematian utamapada kelompok umur 29 bulan-4 tahun. TBC merupakan penyebab kematian utama pada perempuandan nomor dua pada laki-laki umur 15-44 tahun. Stroke adalah penyebab kematian utama pada kelompokumur 55-64 tahun, 65 tahun ke atas dan pada laki-laki kelompok umur 45-54 tahun. Kata kunci: kematian, stroke, penyebab kematian, utama
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
12

Prof. Nabea Wendo; Dkt. Gwachi J. Mayaka, Richard Makhakha Iyaya;. "Dhima Katika Mawasiliano ya Ushairi wa Jando Katika Jamii ya Watachoni, Kaunti ya Bungoma." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (August 31, 2020). http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.145.

Full text
Abstract:
Makala haya yalilenga kuchunguza dhima ya mawasiliano ya ushairi wa jando kwenye jamii ya Watachoni wa kaunti ya Bungoma. Utafiti uliendelezwa kwa muundo wa kimaelezo ya kiethnografia ulioangazia kanuni za mila, utamaduni na mahusiano ya kimawasiliano na athari zake kwa mitindo na lugha ya uwasilishaji ili kubainisha dhima yake. Nadharia ya Baada ya Umuundo ya Derrida (1966) ilitumika kuchanganua miundo na kuonyesha kuwa matini hubainisha ukinzani wa ujumbe anaouhusisha mwasilishaji katika kazi yake. Nadharia ya ubabe-dume ya Maclennes (1998) pia ilitumika kuchunguza namna mitindo ya uwasilishaji na lugha katika mawasiliano ya ushairi wa jando unavyoathiri asasi za kijamii. Utafiti huu ulihusisha ukusanyaji wa deta moja kwa moja kutoka jamii ya Watachoni wakati wa shughuli za jando kwenye Kaunti ya Bungoma. Kundi lengwa lilikuwa watahiriwa, wazazi, wanaume na wanawake Watachoni na viongozi wa shughuli za jando. Tulitumia sampuli kusudio na sampuli nasibu tabakishi kubainisha ushairi na wasailiwa waliorejelewa kuyaainisha mawasiliano haya ya ushairi wa jando. Ushairi 16 na watafitiwa 45 walirejelewa kuyachanganua mawasiliano haya katika awamu zote za shughuli za jando. Deta iliyokusanywa ilirekodiwa, ikaandikwa na kutafsiriwa kutoka lugha ya Kitachoni hadi ya Kiswahili kisha ikachanganuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu za uchunguzaji nyanjani, mahojiano, mashauriano na wasimamizi na kuainisha habari zilizotokana na vyombo vya habari. Vifaa kama vile kamera za picha tuli na za kunasa sauti na video vilitumika kukusanyia deta na hatimaye kuziwasilisha kwa njia za maelezo na majedwali. Deta iliwasilishwa kwa njia ya maelezo na kufafanuliwa kwa kuzingatia malengo, nadharia na mipaka ya utafiti.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
13

Nugroho, Priyo Tri, Syamsul Maarif, and Joko Affandi. "HUBUNGAN PENERAPAN SISTEM PENGGAJIAN DENGAN KOMITMEN DAN PRODUKTIVITAS KARYAWAN PT. DWIPAHASTA UTAMADUTA." Jurnal Aplikasi Bisnis dan Manajemen 3, no. 1 (August 25, 2015). http://dx.doi.org/10.17358/jabm.3.1.152.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
14

Apsari, Nurliana Cipta. "Pekerjaan Sosial dengan Anak dan Keluarga." Share : Social Work Journal 3, no. 2 (December 22, 2013). http://dx.doi.org/10.24198/share.v3i2.10022.

Full text
Abstract:
Dalam bekerja dengan anak, seorang pekerjasosial harus mendasarkan intervensinya kepadakepentingan terbaik untuk anak. Konteks yang paling dekat dan mempengaruhikehidupan seorang anak, menurut model iniadalah keluarga. Keluarga adalah tempat utamadan pertama dalam kehidupan seorang anak.Sebuah keluarga dapat berarti keluarga besar,keluarga inti, keluarga orang tua tunggal, keluargadengan orang tua yang berbeda suku, agama danras. Keluarga orang tua tunggal pun beragam,ada yang karena bercerai, meninggal atau tidakdiketahui keberadaan salah satu orang tuanya.Hal-hal tersebut menunjukkan betapa keluarga itumengalami dinamika yang sangat tinggi yangdapat mempengaruhi kesejahteraan anak-anakyang diasuh dalam keluarga tersebut.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
15

Putra, Rabi Dwika, Jafrizal Jafrizal, and Suryadi Suryadi. "PENGARUH JARAK TANAM DAN JENIS PUPUK KANDANG TERHADAP PERTUMBUHAN DAN HASIL TANAMAN JAGUNG MANIS (ZeaMays Saccharata Sturt.)." Agriculture 14, no. 2 (September 28, 2020). http://dx.doi.org/10.36085/agrotek.v14i2.1025.

Full text
Abstract:
Pengaruh Jarak Tanam dan Jenis Pupuk Kandang Terhadap Pertumbuhan dan Hasil Tanaman Jagung Manis (Zea Mays Saccharata Sturt).Mahasiswa Agroteknologi Fakultas Pertanian dan Peternakan Universitas Muhammadiyah Bengkulu. Di bawah bimbingan Jafrizal sebagai pembimbing utamadan Suryadi sebagai pembimbing kedua. Tujuan penelitian ini adalah untuk mengetahui Pengaruh Jarak Tanam dan Jenis Pupuk Kandang Terhadap Pertumbuhan dan Hasil Tanaman Jagung Manis (Zea Mays Saccharata Sthurt). Rancangan yang digunakan menggunakan Rancangan Acak Kelompok (RAK) faktorial dengan 2 faktor yaitu faktor pertama Jarak Tanam (J) : J1 (50 x 30), J2 (50 X 40), J3 (50 X 50), sedangkan faktor kedua Jenis Pupuk Kandang (P) : P1 (Pupuk Kandang Ayam), P2 (Pupuk Kandang Kambing), P3 (Pupuk Kandang Sapi) masing-masing perlakuan diulang sebanyak 3 kali. Hasil data dianalisis menggunakan Analisis Sidik Ragam (ANOVA) dan apabila berbeda nyata dilakukan uji lanjut Duncan’s Multiple Range Test (DMRT) taraf 5 %. Hasil penelitian menunjukan bahwa Pengaruh Jarak Tanam dan Jenis Pupuk Kandang tidakberpengaruh nyata terhadapsemua pengamatan Tanaman Jagung Manis (Zea Mays Saccharata Sthurt).
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
16

TORUAN-MATHIUS, Nurita, ENDANG-YUNIASTUTI, Ridwan SETIAMIHARJA, and Murdaningsih H. KARMANA. "Analisis genotip normal dan abnormal pada klon kelapa sawit (Elaeis guineensis Jacq.) dengan Amplified Fragment Length Polymorphism (AFLP) Analysis normal and abnormal genotypes of oil palm clones (Elaeis guineensis Jacq.) by Amplified Fragment Length Polymorphism (AFLP)." E-Journal Menara Perkebunan 73, no. 1 (March 12, 2016). http://dx.doi.org/10.22302/iribb.jur.mp.v73i1.159.

Full text
Abstract:
SummaryTissue culture-derived plants of oil palmmay develop abnormal flowers in whichprimordial stamens are converted into carpel-liketissue or mantled fruits, and sterile male flowers.This abnormality can be heritable, individualpalm may show variation in mantling andreversion to the normal phenotype over time hasbeen observed. The aim of these experiments wasto analyze the differences between normal andabnormal genotypes by DNA-AFLP. DNA wasisolated from young fruits of three clones,MK152, MK209, and MK 212 each of themconsisted of normal fruits, abnormal fruits andsterile male flowers. The research consisted of (i)selection of AFLP primer which can producepolymorphic bands, (ii) genetic similaritiesanalysis, UPGMA, principal component analysisand specific DNA bands between normal orabnormal genotypes. For primers selection, 20AFLP primers with DNA from MK 152 normaland abnormal genotypes were used. The selectedprimers were then used to amplify DNA of ninegenotypes. The results show that 10 primer com-binations EcoRI/MseI produced polymorphicbands. Each primer from 10 primer producedonly one or two DNA bands indicates that thedifferences between normal and abnormalgenotypes in the same clone. However, nopolymorphism was consistently found betweennormal and abnormal clones in all the sets.Genetic similarity analysis shows that betweengenotype had high genetic similarities, around92-99%. The results of UPGMA found thedifferent clustering between normal fruit,abnormal male and abnormal fruits. The resultsshow same as clustering based on first, secondand third component. This suggest that, whilstAFLP method is an effective way of detectingvariation in tissue culture-derived plants,different approaches are required to identify thecasual basis of the mantled fruit abnormality.RingkasanTanaman kelapa sawit yang dihasilkan darikultur jaringan, umumnya dalam perkembangan-nya akan memiliki organ reproduktif yangabnormal. Abnormalitas berupa primordialstamen berkembang menjadi bentuk jaringanseperti karpel, buah mantel, atau bunga jantanmandul. Penelitian ini bertujuan untukmendapatkan pembeda DNA-AFLP antaragenotip normal dan abnormal pada klon-klonkelapa sawit. DNA diisolasi dari buah muda klonMK 152, MK 209, dan MK 212 yang masing-masing terdiri atas genotip normal, berbuahabnormal, dan berbunga jantan steril. Percobaanmencakup (i) seleksi primer AFLP yang mampumenghasilkan pita yang polimorfis, (ii) analisiskemiripan genetik, UPGMA, komponen utamadan pita pembeda antar genotip normal danabnormal. Seleksi primer dilakukan terhadap 20primer AFLP menggunakan DNA dari genotipMK 152 yang normal dan abnormal. Selanjutnyaprimer terpilih digunakan untuk mengamplifikasiDNA dari kesembilan genotip yang diuji. Hasilyang diperoleh menunjukkan bahwa 10 kombi-nasi primer EcoRI/MseI mampu menghasilkanpita yang polimorfis. Dari 10 primer yang diuji,masing-masing hanya menghasilkan satu ataudua pita DNA yang mampu membedakan genotipnormal dan abnormal dalam klon yang sama.Namun, tidak ada pita DNA spesifik yangmampu membedakan genotip normal denganabnormal untuk seluruh klon yang diuji. Analisiskemiripan genetik menunjukkan bahwa antargenotip memiliki kemiripan genetik yang sangattinggi, yaitu 92-99%. Dari hasil UPGMAdiperoleh pengelompokan yang terpisah antargenotip normal, abnormal jantan dan buahabnormal. Hasil tersebut didukung olehpengelompokan berdasarkan komponen utamasatu, dua dan tiga. Dapat disimpulkan bahwa,teknik AFLP tidak efektif untuk mendeteksipembeda antar genotip tanaman yang diperolehdari kultur jaringan, pendekatan lainnyadiperlukan untuk mengidentifikasi abnormalitas.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
17

TORUAN-MATHIUS, Nurita, ENDANG-YUNIASTUTI, Ridwan SETIAMIHARJA, and Murdaningsih H. KARMANA. "Analisis genotip normal dan abnormal pada klon kelapa sawit (Elaeis guineensis Jacq.) dengan Amplified Fragment Length Polymorphism (AFLP) Analysis normal and abnormal genotypes of oil palm clones (Elaeis guineensis Jacq.) by Amplified Fragment Length Polymorphism (AFLP)." E-Journal Menara Perkebunan 73, no. 1 (March 12, 2016). http://dx.doi.org/10.22302/ppbbi.jur.mp.v73i1.159.

Full text
Abstract:
SummaryTissue culture-derived plants of oil palmmay develop abnormal flowers in whichprimordial stamens are converted into carpel-liketissue or mantled fruits, and sterile male flowers.This abnormality can be heritable, individualpalm may show variation in mantling andreversion to the normal phenotype over time hasbeen observed. The aim of these experiments wasto analyze the differences between normal andabnormal genotypes by DNA-AFLP. DNA wasisolated from young fruits of three clones,MK152, MK209, and MK 212 each of themconsisted of normal fruits, abnormal fruits andsterile male flowers. The research consisted of (i)selection of AFLP primer which can producepolymorphic bands, (ii) genetic similaritiesanalysis, UPGMA, principal component analysisand specific DNA bands between normal orabnormal genotypes. For primers selection, 20AFLP primers with DNA from MK 152 normaland abnormal genotypes were used. The selectedprimers were then used to amplify DNA of ninegenotypes. The results show that 10 primer com-binations EcoRI/MseI produced polymorphicbands. Each primer from 10 primer producedonly one or two DNA bands indicates that thedifferences between normal and abnormalgenotypes in the same clone. However, nopolymorphism was consistently found betweennormal and abnormal clones in all the sets.Genetic similarity analysis shows that betweengenotype had high genetic similarities, around92-99%. The results of UPGMA found thedifferent clustering between normal fruit,abnormal male and abnormal fruits. The resultsshow same as clustering based on first, secondand third component. This suggest that, whilstAFLP method is an effective way of detectingvariation in tissue culture-derived plants,different approaches are required to identify thecasual basis of the mantled fruit abnormality.RingkasanTanaman kelapa sawit yang dihasilkan darikultur jaringan, umumnya dalam perkembangan-nya akan memiliki organ reproduktif yangabnormal. Abnormalitas berupa primordialstamen berkembang menjadi bentuk jaringanseperti karpel, buah mantel, atau bunga jantanmandul. Penelitian ini bertujuan untukmendapatkan pembeda DNA-AFLP antaragenotip normal dan abnormal pada klon-klonkelapa sawit. DNA diisolasi dari buah muda klonMK 152, MK 209, dan MK 212 yang masing-masing terdiri atas genotip normal, berbuahabnormal, dan berbunga jantan steril. Percobaanmencakup (i) seleksi primer AFLP yang mampumenghasilkan pita yang polimorfis, (ii) analisiskemiripan genetik, UPGMA, komponen utamadan pita pembeda antar genotip normal danabnormal. Seleksi primer dilakukan terhadap 20primer AFLP menggunakan DNA dari genotipMK 152 yang normal dan abnormal. Selanjutnyaprimer terpilih digunakan untuk mengamplifikasiDNA dari kesembilan genotip yang diuji. Hasilyang diperoleh menunjukkan bahwa 10 kombi-nasi primer EcoRI/MseI mampu menghasilkanpita yang polimorfis. Dari 10 primer yang diuji,masing-masing hanya menghasilkan satu ataudua pita DNA yang mampu membedakan genotipnormal dan abnormal dalam klon yang sama.Namun, tidak ada pita DNA spesifik yangmampu membedakan genotip normal denganabnormal untuk seluruh klon yang diuji. Analisiskemiripan genetik menunjukkan bahwa antargenotip memiliki kemiripan genetik yang sangattinggi, yaitu 92-99%. Dari hasil UPGMAdiperoleh pengelompokan yang terpisah antargenotip normal, abnormal jantan dan buahabnormal. Hasil tersebut didukung olehpengelompokan berdasarkan komponen utamasatu, dua dan tiga. Dapat disimpulkan bahwa,teknik AFLP tidak efektif untuk mendeteksipembeda antar genotip tanaman yang diperolehdari kultur jaringan, pendekatan lainnyadiperlukan untuk mengidentifikasi abnormalitas.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
We offer discounts on all premium plans for authors whose works are included in thematic literature selections. Contact us to get a unique promo code!

To the bibliography