Contents
Academic literature on the topic 'Utamaduni'
Create a spot-on reference in APA, MLA, Chicago, Harvard, and other styles
Consult the lists of relevant articles, books, theses, conference reports, and other scholarly sources on the topic 'Utamaduni.'
Next to every source in the list of references, there is an 'Add to bibliography' button. Press on it, and we will generate automatically the bibliographic reference to the chosen work in the citation style you need: APA, MLA, Harvard, Chicago, Vancouver, etc.
You can also download the full text of the academic publication as pdf and read online its abstract whenever available in the metadata.
Journal articles on the topic "Utamaduni"
Sululu, Simiyu Benson, Richard Makhanu Wafula, and Joseph Nyehita Maitaria. "Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa Kuzikana." East African Journal of Swahili Studies 3, no. 1 (August 2, 2021): 91–99. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.3.1.373.
Full textWanyenya, Willy, Rocha Chimerah, and Nancy Jumwa Ngowa. "Athari za Usasa kwenye Usimulizi wa Hadithi katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 2 (September 8, 2020): 116–27. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.2.206.
Full textMigodela, Willy. "Dhamira za Maandishi ya Kuta za Vyooni Jijini Dar es Salaam." Mkwawa Journal of Education and Development 1, no. 1 (December 1, 2017): 17–27. http://dx.doi.org/10.37759/mjed.2017.1.1.2.
Full textProf. Wendo Nabea, Harrison Onyango Ogutu; Dr Sheila Wandera;. "Ujitokezaji wa Hejemonia Katika Asasi Za Kijamii: Mfano wa Dharau ya Ini, Msimu wa Vipepeo, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (June 30, 2020): 76–88. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.130.
Full textMwanakombo Mohamed; Mosol Kandagor, Jane Jepkoech Singoei;. "Jinsi Vipengele vya Kitamaduni katika Matini Teule ya Kiswahili na Kikalenjin Vilivyochangia Mtafsiri Kuiandika Upya Bukuit Ne Tilil." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (September 30, 2020): 110–24. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.155.
Full textOgutu, Wanyama. "Halafu ya Sanaa za Ubunifu wa Kiafrika: Mtanziko Rejeleshi wa Tawala za Kiafrika." East African Journal of Swahili Studies 3, no. 1 (June 1, 2021): 24–29. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.3.1.334.
Full textOketch, Samson Ezekiel, Beverlyne Asiko Ambuyo, and Rosemary Makokha. "Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 1 (April 10, 2020): 8–18. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.1.135.
Full textWesonga, Esther Lucy, Beverlyne Asiko Ambuyo, and Rocha Chimerah. "Nafasi ya Fasihi Katika Kuwasilisha Masuala ya Mazingira Kupitia Riwaya Teule Tikitimaji (2013) na Msimu wa Vipepeo (2006) za K. W. Wamitila." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 2 (August 11, 2020): 54–64. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.2.192.
Full textSyamsudin, Kinkin. "MANHAJ IBNU ABÎ HÂTIM DALAM KITAB AL-JARH WA AL-TA’DÎL." Diroyah : Jurnal Studi Ilmu Hadis 2, no. 1 (May 22, 2018): 1–14. http://dx.doi.org/10.15575/diroyah.v2i1.2491.
Full textArvenia, Rica, Muhammad Fedryansyah, and Muhamad Fadhil Nurdin. "Giddens dan Kapitalisme: Etika Kerja Buruh Perkebunan Karet di Sumatera Selatan." Jurnal Pemikiran Sosiologi 5, no. 2 (April 1, 2019): 108. http://dx.doi.org/10.22146/jps.v5i2.44637.
Full textDissertations / Theses on the topic "Utamaduni"
Kariuki, Lydiah Wanjiru. "An exploration of alcohol abuse as a risk factor for Intimate Partner Violence in Kibera, Kenya." Diss., 2021. http://hdl.handle.net/10500/27552.
Full textUtafiti huu ulilenga kuchunguza athari za pombe kwa dhuluma zinazosababishwa na mpenzi unayeshiriki naye ngono (IPV) katika eneo la Kibera nchini Kenya. Utafiti huu unatokana na kiwango cha juu cha hali ya IPV na unywaji wa pombe kupindukia nchini Kenya, hasa kwa wanaoishi kwenye mitaa ya mabanda. Kenya hupatikana katika eneo la kijiografia la Afrika Mashariki. Kibera ni mtaa wa mabanda ambao unapatikana katika mji mkuu wa Nairobi. Kibera inakabiliwa na umasikini uliokithiri, ukosefu wa ajira na uhalifu. Mbinu ya kutathmini ubora ilitumika, na uchunguzi kifani ulitumika. Sampuli isiyokuwa na welekeo wa uwezekano ilitumika, kwa kutumia mbinu za kimakusudi, na kwa kuongeza mambo utafiti unapoendelea wakati wa kuchagua watu wa kushiriki kwenye utafiti. Jumla ya waathiriwa wa IPV 32 wa kike walitumika kama sampuli katika utafiti huu. Ijapokuwa utafiti haukuwa na lengo la kutowashirikisha wanaume, hakuna muathiriwa wa IPV wa kiume alipatikana. Maswali yaliyokuwa na utaratibu maalum yalitumika kwa kila mshiriki. Maadili yalizingatiwa mno wakati wa mchakato mzima wa utafiti. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kuzingatia mada. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa wengi wa washiriki waliokuwa na umri usiozidi miaka 40, walikuwa wameolewa na angalau mtoto mmoja. Hawakuwa wamesoma mno, na wao pamoja na wapenzi wao walikuwa na ajira zenye ujira duni. Kupigwa na kuteswa kisaikolojia ni dhuluma zilizojitokeza mno. Hata hivyo, unyanyasaji wa kimapenzi bado ulishuhudiwa na hata wakati mwingine ulifanyiwa watoto. Madhara kwa mwili na ya kisaikolojia yalijitokeza kama athari kuu za IPV. Athari kwa watoto na kwa familia pia zilichunguzwa. Utafiti huu ulionyesha kuwa kuna uhusiano mkuu kati ya matumizi ya pombe kupindukia na IPV. Hata hivyo, matumizi ya pombe/au kulewa kupindukia siyo tu mambo yanayosababisha IPV. Cha kushangaza, hali zilizoelezwa na washiriki zilionyesha umuhimu wa mfumo dume kwa utamaduni wa watu wa Kibera. Iligunduliwa kuwa mfumo wa udume unaoendelea katika eneo la kibera, ni mojawapo wa mambo yanayochangia IPV na kuendelezwa kwake Utafiti huu ulilenga kuchunguza athari za pombe kwa dhuluma zinazosababishwa na mpenzi unayeshiriki naye ngono (IPV) katika eneo la Kibera nchini Kenya. Utafiti huu unatokana na kiwango cha juu cha hali ya IPV na unywaji wa pombe kupindukia nchini Kenya, hasa kwa wanaoishi kwenye mitaa ya mabanda. Kenya hupatikana katika eneo la kijiografia la Afrika Mashariki. Kibera ni mtaa wa mabanda ambao unapatikana katika mji mkuu wa Nairobi. Kibera inakabiliwa na umasikini uliokithiri, ukosefu wa ajira na uhalifu. Mbinu ya kutathmini ubora ilitumika, na uchunguzi kifani ulitumika. Sampuli isiyokuwa na welekeo wa uwezekano ilitumika, kwa kutumia mbinu za kimakusudi, na kwa kuongeza mambo utafiti unapoendelea wakati wa kuchagua watu wa kushiriki kwenye utafiti. Jumla ya waathiriwa wa IPV 32 wa kike walitumika kama sampuli katika utafiti huu. Ijapokuwa utafiti haukuwa na lengo la kutowashirikisha wanaume, hakuna muathiriwa wa IPV wa kiume alipatikana. Maswali yaliyokuwa na utaratibu maalum yalitumika kwa kila mshiriki. Maadili yalizingatiwa mno wakati wa mchakato mzima wa utafiti. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kuzingatia mada. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa wengi wa washiriki waliokuwa na umri usiozidi miaka 40, walikuwa wameolewa na angalau mtoto mmoja. Hawakuwa wamesoma mno, na wao pamoja na wapenzi wao walikuwa na ajira zenye ujira duni. Kupigwa na kuteswa kisaikolojia ni dhuluma zilizojitokeza mno. Hata hivyo, unyanyasaji wa kimapenzi bado ulishuhudiwa na hata wakati mwingine ulifanyiwa watoto. Madhara kwa mwili na ya kisaikolojia yalijitokeza kama athari kuu za IPV. Athari kwa watoto na kwa familia pia zilichunguzwa. Utafiti huu ulionyesha kuwa kuna uhusiano mkuu kati ya matumizi ya pombe kupindukia na IPV. Hata hivyo, matumizi ya pombe/au kulewa kupindukia siyo tu mambo yanayosababisha IPV. Cha kushangaza, hali zilizoelezwa na washiriki zilionyesha umuhimu wa mfumo dume kwa utamaduni wa watu wa Kibera. Iligunduliwa kuwa mfumo wa udume unaoendelea katika eneo la kibera, ni mojawapo wa mambo yanayochangia IPV na kuendelezwa kwake Utafiti huu utakuwa na manufaa kwa waathiriwa wa IPV, jamii wanazotoka na watungaji wa sheria za kitaifa bila kusahau jamii ya watafiti wa kisayansi.
Maikemisetso a thutopatlisiso eno e ne e le go tlhotlhomisa tshusumetso ya tiriso e e botlhaswa ya nnotagi mo tirisodikgokeng ya balekane ba baratani (IPV) e e diragalang kwa Kibera, Kenya. Thutopatlisiso e theilwe mo tiragalong e e kwa godimo ya IPV le tiriso e e botlhaswa ya nnotagi kwa Kenya, bogolo segolo magareng ga banni ba mafelo a baipei. Kenya e fitlhelwa kwa Botlhaba jwa Aforika. Kibera ke lefelo la baipei mo motsemogolong wa naga, Nairobi, mme e aparetswe ke lehuma, botlhokatiro le bosenyi jo bo boitshegang. Go dirisitswe molebo o o lebelelang mabaka mme ga dirisiwa thadiso ya thutopatlisiso e e lebelelang kgetse. Go dirisitswe mokgwa wa go tlhopha sampole moo baagi ba se nang tšhono e e tshwanang ya go nna le seabe le dithekeniki tsa go tlhopha sampole go ya ka maitlhomo le go letla banni-le-seabe ba pele go ngokela ba bangwe go tlhopha banni-le-seabe ba patlisiso. Palogotlhe ya batswasetlhabelo ba basadi ba IPV ba le 32 e nnile sampole e e dirisitsweng mo thutopatlisisong. Le fa thutopatlisiso e ne e sa ikaelela go se akaretse banna mo sampoleng, go ne go se na batswasetlhabelo bape ba IPV ba banna ba ba tlhageletseng. Go nnile le dipotsolotso tse di batlileng go rulagana tse di tshwerweng le monni-le-seabe mongwe le mongwe ka sebele. Go dirisitswe ntlha ya maitsholo a a siameng ka botlhaga mo tsamaong ya thutopatlisiso yotlhe. Data e e kokoantsweng e ne ya lokololwa go ya ka meono. Diphitlhelelo tsa thutopatlisiso di senotse gore bontsi jwa banni-le-seabe ba ne ba le dingwaga tse di kwa tlase ga 40, ba nyetswe mme ba na le bonnye ngwana a le mongwe. Seelo sa bona sa thuto se ne se lekanyeditswe mme ditiro tsa bona gammogo le tsa balekane ba bona di ne di tsenya letseno le le kwa tlase. Tshotlakako ya mo mmeleng le ya maikutlo di tlhagisitswe jaaka mefuta e e tlwaelegileng thata ya tshotlakako. Le gale, tshotlakako ya thobalano e ne e ntse e le teng mme mo mabakeng mangwe e ne e fetela le mo baneng. Ditlamorago tsa mo mmeleng le mo tlhaloganyong di supilwe jaaka ditlamorago tse di bonalang thata tsa IPV. Go lebeletswe le ditlamorago mo baneng le mo lelapeng. Thutopatlisiso e fitlhetse go na le kgolagano e e maatla magareng ga tiriso ya nnotagi le IPV. Le gale, tiriso le/gongwe tiriso e e botlhaswa ya nnotagi ga e a supiwa e le yona fela ntlha e e bakang xi IPV. Se se kgatlhisang ke gore maitemogelo a banni-le-seabe a senotse ka moo tsamaiso e e letlang banna go laola basadi le setso di laolang basadi ka gona mo loagong e leng se se maleba tota kwa Kiberia. Go fitlhetswe gore tsamaiso ya setšhaba e e letlang banna go laola basadi e e tswelediwang kwa Kiberia ke nngwe ya dintlha tse di tshwaelang le go etegetsa IPV. Thutopatlisiso e lebeletse go ungwela batswasetlhabelo ba IPV, baagi ba selegae le lekgotlataolo la bosetšhaba, gammogo le dipatlisiso tsa saense.
Criminology and Security Science
M.A. (Criminology)
Books on the topic "Utamaduni"
Mbaabu, Ireri. Utamaduni wa Waswahili. Nairobi, Kenya: Kenya Pub. & Book Marketing Co., 1985.
Find full textUtamaduni wa Mzanzibari. Zanzibari: Baraza la Kiswahili la Zanzibar, 2008.
Find full textHistoria ya Kilwa na utamaduni wa wakazi. Dar es Salaam: Tanzania Pub. House, 2003.
Find full textHagamu, Emil C. N. Dumisha uhai: Mapambano dhidi ya utamaduni wa kifo. Dar es Salaam: Pro-Life (HLI) Tanzania, 2004.
Find full textGeiger, Susan. Wanawake wa TANU: Jinsia na utamaduni katika kujenga uzalendo Tanganyika, 1955-1965. Dar es Salaam: TGNP, 2005.
Find full textFasihi simulizi na utamaduni: Kitabu cha walimu na wanafunzi, (shule na vyuo). Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation, 2008.
Find full textElieshi, Lema, and Tanzania Gender Networking Programme, eds. Wanawake wa TANU: Jinsia na utamaduni katika kujenga uzalendo Tanganyika, 1955-1965. Dar es Salaam: TGNP, 2005.
Find full textMakumbusho ya Dar es Salaam: Ijue historia yako : urithi wa utamaduni : Kilwa Kisiwani. [Dar es Salaam]: Charles Computer Graphics Designer, 2004.
Find full textMoshi, Lioba J. Kiswahili language and culture: A textbook for the teaching of Kiswahili with video = Kiswahili : lugha na utamaduni : kitabu cha mwanafunzi wa Kiswahilli kwa video. Kensington, Md: Dunwoody Press, 1998.
Find full textK, Mlacha S. A., Hurskainen Arvi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili., and Helsingin yliopisto. Aasian ja Afrikan kielten ja kulttuurien laitos., eds. Lugha, utamaduni na fasihi simulizi ya Kiswahili: FASIHI YA KISWAHILI. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1995.
Find full text